Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,548
tanx mkuumsikilize nyoka mzee nenda tofauti uchanganyikiwe achana na ugonjwa wa mapenzi
tanx mkuumsikilize nyoka mzee nenda tofauti uchanganyikiwe achana na ugonjwa wa mapenzi
karibu sana mkuuNashukuru mkuu kwa ushauli wako mzuli
hahaha umeona eeeutaambiwa tafuta hela tu hapa.
ndio, nashangaa we hujamwambia atafute hela.hahaha umeona eee
mie huwa sitoagiii ushauri huo hata siku mojandio, nashangaa we hujamwambia atafute hela.
ndo ulichotaka kumwambia nini?[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
Achaa tuu ndugu sina hata cha kuelezea hapaaAmekuachaje mkuu?
Nshapoaa aisee mkuuPole sana Mkuu
With time utakuwa okey tu
Mkuu mbalizi huu ugojwa unaumiza sanaa lakini tumeshapoaHako kaugonjwa huwa ni kabaya sana, sema ujishalikubali lililotokea ukaachana nalo ukapona, maisha yanakuwa poa sana
Ebana nashukuru mkuu nshapoaa aisee life linasongaaaPole mkuu.. Kuna boya kapendwa