Sir Ray 17
Member
- Oct 4, 2017
- 6
- 0
Kwa kuachwa na mtu, lakufanya lazimisha pata mtu upesi (Binti) jifanye kuridhika nae, kaa nae muda mwingi, mcheze nk hata kama unaskia nafsi haitaki lazimisha tu. Ninacho fahamu mtu akiazimishwa baiskeli akawa njiani akanyanganywa atajiskia vibaya sababu anatembea kwa mguu ila muda huo huo akipewa lift basi maumivu yatapungua.