Msaada: Wanaofahamu dawa ya stress na maumivu ya mapenzi

[emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]njoo kwangu natoa dawa utamsahau dakika
 
Ishi kama ulivyokuwa kabla haujakuwa nae.....

Mapenzi huzaliwa, hukua au hata kufa.....Ila maisha lazima yaendeleee......

Tafuta pesa
Mpe ushauri mubashara mwenzio[emoji12]
 
Ishi kama ulivyokuwa kabla haujakuwa nae.....

Mapenzi huzaliwa, hukua au hata kufa.....Ila maisha lazima yaendeleee......

Tafuta pesa
Sumbai asante mkuu hapo nimelewa tayali
 
Back
Top Bottom