sinajinasasa
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 2,989
- 4,169
Tumia source code then run ili kuondoa bugs, hizo ndo zinakusumbua hadi unaachwa...
kinachokutisha ni hilo begi kwa pic yang?? nimeoa nina mwaka saiv ni mjadala tu waweza weka maoni au laaah ila mambo mengine ya kimaisha uyaache tu kama yalivyo. cz usiemjua atakupa tab kumjuaKijana kazania masomo kwanza.....
Tizama hata hulali unakesha..!!
hahahah umetishaaaa jina tu limetoshaaaaUwe na pesa.. na uwe na mpenzi mpenda pesa over
ulimuona?Pungaza stress najua Jana kuna sehemu uliomba papuchu, akachomoa pole tafuta pesaa
tafuta kipoozeoJamani nimeachwa na mpenzi wangu niliyekuwa ninampenda, saivi nina stress.
Nisaidie jamani. Nifanye nini ili kuondoa haya ma stress
Jamani nimeachwa na mpenzi wangu niliyekuwa ninampenda, saivi nina stress.
Nisaidie jamani. Nifanye nini ili kuondoa haya ma stress