Msaada: Wanaofahamu dawa ya stress na maumivu ya mapenzi

Msaada: Wanaofahamu dawa ya stress na maumivu ya mapenzi

Pole sana mkuu, Hakuwa wako huyo shukuru Mungu kwa kila kinachotokea inawezekana Mungu kakuepusha na kitu, Jichanganye na watu sikiliza mziki mzuri unaopenda soma vitabu.... MUNGU ATAKUPA WAKO MWENYE HERI NA WEWE.
ushaur mzur bro nimeupenda
 
Fanya meditation.. Utapata uwezo Wa kuuruhusu ubongo kupumzika kuwaza kufanya hivyo kutakusaidia sana kuwa timamu. Cc mshana jr.
 
Wewe unajiita c programming? Gonga code kijana soma language zingine akina, java,css,html, python gonga code kjana upige pesa mapenzi yanahitaji execution
 
JAMANI NIMEACHWA NA MPENZI WANGU NILIYEKUWA NINA MPENDA SAIVI NINA STRESS .

Nisaidie jamani. Nifanye nini ili kuondoa haya ma stress
Hadi unaachwa aukuwa unaona dalili usepe faster.... Mimi hadi nimefikia kuowa sijawai kupigwa kibuti mtoto wa kike aitakiwi kumuonyesha kuwa yeye ndio Kila Kitu kwako... Hata mke wangu ninampenda kweli na ninamfanyia Kila anachoitaji but simuonyeshi kama yeye ndio Mwisho wa Kila Kitu kwangu..... Mkuu tafuta wa kujaza nafasi usilazimishe pasipo na penzi watoto wapo wengi na wazuri Hatari Muweke Mungu mbele kwanza utapata mzuri na mwenye sifa za kuwa mke Bora....
We muachie Mungu kama vipi tafuta mpunga aisee itumie kama fursa
Ili Jibu la kumwachia Mungu hata yeye anakushangaa kwani yeye ndie kamchukua huyo demu wa jamaa
JAMANI NIMEACHWA NA MPENZI WANGU NILIYEKUWA NINA MPENDA SAIVI NINA STRESS .

Nisaidie jamani. Nifanye nini ili kuondoa haya ma stress

We muachie Mungu kama vipi tafuta mpunga aisee itumie kama fursa
 
Back
Top Bottom