Msaada wanajamii wa haraka unahitajika.

Msaada wanajamii wa haraka unahitajika.

mansury

Member
Joined
Apr 21, 2015
Posts
11
Reaction score
1
Habari za sikukuu ngugu ,jamaa na marafiki kwa jumla !Naomba mnisaidie kitu kimoja nilikua najaza form ya scholership lakini kuna kipengele kimegoma ambacho ni country residence kinagoma nikijaza nakuta hakikubali naomba msaada kwa yeyote anayetambua asante.
 
Binafsi najua hapo unatakiwa kutaja/kuandika nchi yako unayoishi sasa sijajua wewe unajaza nini na kivipi igome or inaweza kua ni mtandao
 
Kweli ilikua mtandao maana niliangaika sana lakini sasa good! asante kwa ushauri
 
Back
Top Bottom