Msaada wana MMU

monta

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2014
Posts
1,297
Reaction score
1,874
Habari wana MMU

Mimi nimesoma shule ya boys tupu,sasa kuna rafiki yangu mmoja hivi anakabiliwa na tatizo la kujichua/musterbation ambapo alianza tangu yuko kidato cha kwanza ,sasa punyeto imemuathiri kiasi anapiga hadi mara 5 kwa siku:nimejaribu kumsaidia kuacha ameshindwa,sasa je kuna madhara yoyote atakayoyapata au aendelee tu;na kama kuacha atumie njia gani maana zote zimeshindikanika.
msaada wana MMU
 
Ngoja waje wadau wenziwe watakupa majibu...
 
nadhani huyo ni mwanaume ..... sasa muhimu nikumweka karibu na mademu aache kupeleka mkono kwenye dudu yake... madhara ni makubwa mno kushindwa kufaidi k na kupoteza nguvu za kiume
 
Endelea kumsumbua aache, tatizo imeshamuingia akilini na imehsakua kigonjwa, asipoangalia itafikia hatua hata akiwa na demu kwanza ataanza kupiga puli kisha ndio mtanange utafuata
 
nadhani huyo ni mwanaume ..... sasa muhimu nikumweka karibu na mademu aache kupeleka mkono kwenye dudu yake... madhara ni makubwa mno kushindwa kufaidi k na kupoteza nguvu za kiume

apige tu...apige...nasema apige tu ila mwishowe ATACHAPWA NAO
 

Quitting masturbation is a slow process. You can't just go cold turkey on it.

If your friend is in deadly earnest about quitting his habit (of a lifetime), I have a couple ideas on how he can go about it.

For starters, I need to know a few things. what does he use when masturbating? Vaseline petroleum jelly? Lotion? Soap? Spit?

Where does he do it at? Home? If at home, where in the home? The bathroom? Bedroom? Living room?
 
^^
Ni rahisi kuacha bangi kuliko kujichua... La msingi aache polepole na ashike ibaada
^^
 
anatumia mafuta na huwa anapga kitandani kwake mkuu
 
Endelea kumsumbua aache, tatizo imeshamuingia akilini na imehsakua kigonjwa, asipoangalia itafikia hatua hata akiwa na demu kwanza ataanza kupiga puli kisha ndio mtanange utafuata[/QUOTE majanga ka ndo hvo
 
Huyo akiendelea kujichua baada ya miaka mi 5 ataolewa-hiyo ndo moja ya effect
 
nadhani huyo ni mwanaume ..... sasa muhimu nikumweka karibu na mademu aache kupeleka mkono kwenye dudu yake... madhara ni makubwa mno kushindwa kufaidi k na kupoteza nguvu za kiume

kumbe ndo hvo duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…