Msaada wana jamvi nimeibiwa simu.

Msaada wana jamvi nimeibiwa simu.

Chukua imei namba ambazo zipo katika box la simu uliyonunulia then kareport police wape na hizo number waachie watatafuta simu yako na utaipata
 
Chukua imei namba ambazo zipo katika box la simu uliyonunulia then kareport police wape na hizo number waachie watatafuta simu yako na utaipata
Tatizo Huko lazima uwape somethingsomething.....utajikuta unatoka hela mpaka unachoka mwenyewe una Salimu Amri

Ova
 
Mkuu tafuta hela ununue nyingine tu,niliibiwa simu nikaenda polisi nikatoa hela tukaenda tigo nikapewa ile karatasi inayoonyesha mpaka mtu huyo mtu anaeitumia hyo simu,sasa shida ikaanza jinsi ya kwenda kumkamata huyo mtu,nililiwa hela na huyo mpelelezi ikafika 120000,nikaamua kuachana nayo,na hizo karatasi ninazo mpaka leo,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Kama una imei yake utaipata nenda police watakupa njia ya kuipata.
 
Kama una imei yake utaipata nenda police watakupa njia ya kuipata.
Huko police mkuu ni shida, wanataka hela badala ya kufanya kazi. Lugola inabidi aende huko tutamsaidia namba za hawa jamaa police wezi na wala rushwa.
 
Huko police mkuu ni shida, wanataka hela badala ya kufanya kazi. Lugola inabidi aende huko tutamsaidia namba za hawa jamaa police wezi na wala rushwa.
Yote sababu ya maslai duni, wangeboreshewa
 
Back
Top Bottom