Msaada wana jamvi nimeibiwa simu.

Msaada wana jamvi nimeibiwa simu.

kalimanzilajuma

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2017
Posts
323
Reaction score
314
Nani anaweza kunisaidia ili niipate?
1532440526115.jpg
1532440537828.jpg
 
Pole sana mi natafuta simu aina hii uliyo ibiwa na hizi simu ziliretwa na voda kwaajiri ya usajili

Kama ulikuwa unafanya kazi ya usajili wasiliana na meneja wa eneo lako utaipata ila kama Na wewe ulinunua kwa mtu kuipata itakuchuka muda sana
 
Ilikuwa ya kutumia tu.
 
Mkuu tafuta hela ununue nyingine tu,niliibiwa simu nikaenda polisi nikatoa hela tukaenda tigo nikapewa ile karatasi inayoonyesha mpaka mtu huyo mtu anaeitumia hyo simu,sasa shida ikaanza jinsi ya kwenda kumkamata huyo mtu,nililiwa hela na huyo mpelelezi ikafika 120000,nikaamua kuachana nayo,na hizo karatasi ninazo mpaka leo,
 
namna bora, rahisi na ya haraka ya kuipata simu yako ni kununua nyingine tu
 
Ninayo kama hiyo, inasoma voda tu tena upande wa lain moja,
Nani amewahi kuifulashi simu kama hio na akafanikiwa.
 
Back
Top Bottom