Meddick_Uwezo
Member
- Jul 21, 2018
- 54
- 27
Chukua imei namba ambazo zipo katika box la simu uliyonunulia then kareport police wape na hizo number waachie watatafuta simu yako na utaipata
Mh,we tafuta wataalam watakusaidiaSasa ebu nipigie au beep tu, tuongee kidogo tafadhari.
0756847424
Wapi nitapata watalaamu hao, mi Niko NYAMONGO Tarime.Mh,we tafuta wataalam watakusaidia
Tatizo Huko lazima uwape somethingsomething.....utajikuta unatoka hela mpaka unachoka mwenyewe una Salimu AmriChukua imei namba ambazo zipo katika box la simu uliyonunulia then kareport police wape na hizo number waachie watatafuta simu yako na utaipata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119]Mkuu tafuta hela ununue nyingine tu,niliibiwa simu nikaenda polisi nikatoa hela tukaenda tigo nikapewa ile karatasi inayoonyesha mpaka mtu huyo mtu anaeitumia hyo simu,sasa shida ikaanza jinsi ya kwenda kumkamata huyo mtu,nililiwa hela na huyo mpelelezi ikafika 120000,nikaamua kuachana nayo,na hizo karatasi ninazo mpaka leo,
Huko police mkuu ni shida, wanataka hela badala ya kufanya kazi. Lugola inabidi aende huko tutamsaidia namba za hawa jamaa police wezi na wala rushwa.Kama una imei yake utaipata nenda police watakupa njia ya kuipata.
Yote sababu ya maslai duni, wangeboreshewaHuko police mkuu ni shida, wanataka hela badala ya kufanya kazi. Lugola inabidi aende huko tutamsaidia namba za hawa jamaa police wezi na wala rushwa.
Nitafute kama upo darNinayo kama hiyo, inasoma voda tu tena upande wa lain moja,
Nani amewahi kuifulashi simu kama hio na akafanikiwa.
Tatizo Huko lazima uwape somethingsomething.....utajikuta unatoka hela mpaka unachoka mwenyewe una Salimu Amri
Ova
Hyo kawaida mbona na inajulikana!Ushawahi kuwapa hiyo something something?? Au umekarili bro ??
Unalosema penye nia penyeza rupia sikupingi bro [emoji3][emoji3]Hyo kawaida mbona na inajulikana!
Apenyeze rupia aone watampatia sim yake fasta
Ova
Due hapo unapata simu tano.Njoo kwa mganga bagamoyo.andaa laki 5
he he! angalia wasije kusema wewe ndo mwizi mwenyewe!Nielekezeni namna ya kutoa Simu Password wakuu.
Wezi, afadhali uwape upate, unawapa na haupati. WanatamaaYote sababu ya maslai duni, wangeboreshewa