msaada wana jamii Global career company | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada wana jamii Global career company

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by halfan30, Sep 20, 2012.

 1. halfan30

  halfan30 Member

  #1
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 25
  hawa jamaa waltangaza kazi nika-apply so wameniita kwenye interview yao j3. nahitaji info zaidi wanashughulika na nini na kama ni watu makini. maana sisi wengine tuko mikoani so trip hadi dar ujipange. kazi ilikua ZoomTanzania:phone:
   
 2. +255

  +255 JF-Expert Member

  #2
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,908
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 180
  Ni recruitment Agency! Ni kampuni ya Wakenya, aisee hao raia hawana longo longo kabisa. Ofisi zao zipo Maktaba Sqr kama hawatakuwa wamehama.
   
 3. halfan30

  halfan30 Member

  #3
  Sep 20, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 51
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 25
  wamesema wapo golden jubilee tower opposite na ppf tower in mezanine floor. nahitaji maoni ya kuhakikisha hizo taarifa wanajamii wenzangu.
   
 4. +255

  +255 JF-Expert Member

  #4
  Sep 20, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,908
  Likes Received: 284
  Trophy Points: 180
  Nimeku PM
   
 5. Shark

  Shark JF-Expert Member

  #5
  Sep 21, 2012
  Joined: Jan 25, 2010
  Messages: 20,078
  Likes Received: 7,295
  Trophy Points: 280
  Nimeku-PM pia
   
Loading...