Msaada wana J.F

ashraf

Member
Mar 15, 2011
30
7
Nina division 1 ya point 17..nina B 4 na C 5 na cna mpango wa advance,nataka kwenda chuo ila mpaka sasa naumiza kichwa cjui naenda chuo gani...nina mpango wa kusoma kati ya haya I.T,I.C.T,archtcture au mining...,na je naweza kupata ufadhl wa kserikali?na izt lazma nianze certificate??plz help
 
Kama huko dar changamka ufike DIT upate maelekezo utapiga diploma wala sio certificate. Kuna mdogo wangu anaenda alikuwa na 18.
 
Cpo dar,nipo arusha na vp itakua chn ya udhamini wa kiserikali? na masomo kwa semister ya kwanza hua yananza muda gani?
 
bt kwa atakaehc anaweza kuchangia kwa hl uwanja uko wazi bado..
 
udhamin upo hapo dit mdogo wangu na linawezeka mimi nina rafiki zangu wawili wamesoma pale na wamedhaminiwa ila unachangia kidogo sana wakat ule walikuwa wanachangia kama lak na nusu tu ila kwa sasa cjui ni kiasi gani
 
Mimi kwa ushauri wangu form six ndo mpango mzima, acha kukakitisha katisha njiani kama mauwezo yapo
 
Kama unataka archtecture njoo MUST Kwa mining nenda DIT. Udhamini upo!
 
Soma Stashahada ya Mining. Kama unaweza kulipia, bora usome Afya ya Binadamu au Mifugo, huko kula dili ile mbaya. Soko la I. T limejaa mdogo wangu.
 
Dah!asanteni sana.ila kuna m2 alinambia kwakua nlmalza 4m4 2010,suala la udhamini wa kserkali nlsahau sa cjui km ukweli kuhusu hl?nlkw nshanza advance pcb ila nliumwa sana,mpaka saiv narecover,hata intrst na advance ishatoweka mana naona ctoperform kbsa,km mnavyoijua advance c ktoto ukzngatia msuli wa pcb...niponipo 2 mwanajamv mwenzenu yani km cjapangwa kusoma vle!!!
 
Usikate tamaa kaka ngoja nikupe mfano nina rafiki yangu nimekua nae ila alinizidi darasa 1 kama umeshawahi kusikia KIPANGA basi jamaa alikua ni hatari kuanzia Primary alichaguliwa PCB KIBAHA mwaka 2009 ndo alianza form five jamaa aliumwa mpaka akawa kichaa na alikaa hospital kama miezi miwili tukaanza nae form five tena 2010 lakini hakurudi Kibaha na jamaa mwaka huu kapiga 1.5 anaenda Muhimbili. So usikate tamaa waweza kuendelea na masomo ya A-Level.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom