...Msaada Wana chit-chat...

Livas imegoma kbs...ila mpaka kitonga inapandisha...tatizo kushuka?

Mkuu hebu wasiliana na Fundi Mkuu Babu Asprin akusaidie. Sasa hiyo vitara mpaka rivasi imegoma halafu haiwezi kushuka dah!
 
Last edited by a moderator:
Nimenunua ka vitara ka kutembea na Ma wife arabela lakini haka kagali kana nishangaza eti Kwenye MLIMA kanapandisha ila kushusha kwenye mlima haitaki hata uweke free...

..hi gari yaniumiza kichwa..


Upo Nchi gani Mkubwa?
Na kama wewe ni mwenzetu,je upo mkoa gani?
Mambo madogo hayo sana!
Kama vp uniPM!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…