Hahahahsio lazima maji ya moto hats ya baridi, ukishaweka mchele weka maji ya baridi funika uchemkeee, ukiona maji yanapungua punguza moto kabisaaaaa then funika, ingia jf uchart kwa nusu saa,
Unatakiwa uwe unapunguza moto unakuwa wa chini sana waiva vizuri Sana'a kama kawaidaNimezoea kupika wali jiko la mkaa hapo zamani .. Sasa nimeanza kujipikia mwenyewe tatizo Nikipika wali kwa jiko la gesi ukianza kukaukia nikiutoa either utakuwa umeungua au mbichi hauliki.. Nipeni mbinu za timing ya kuuivisha vizuri.
........ race cooker