vantz
JF-Expert Member
- Apr 22, 2016
- 1,107
- 571
Hata mimi nafanya hivi unakauka vizuri sanaUkishachemkaa ukaona maji yanapungua zungusha kiwashio cha jiko taratiibu kama unazima... Kuna pahali utapata moto mdogoooo sasa unabkza hapo wali wako unaufunikaa unaiva taratibu na mvukee kama unafoilng pepa itakusaidia zaidi au wengine wanafunika na mfuko wa plastik hii uzuia mvuke usitoke na utengeneza joto jingii na wali wako utachambuka na kuiva vzuurii... Baada ya mfuko au foilng ndipo funiko lako lafata juu.
Kama kiuchumi uko vzr nunua race cooker