Msaada wakuu, tamaa imeniponza

Msaada wakuu, tamaa imeniponza

d7aba80beeffa9c29413d8f6b584f641.jpg
 
Usiwe na wasiwasi kaka dawa za malaria zina negative impact kwenye damu na zina athiri pia production ya testosterone homoni. Hivyo dawa hiyo ikiisha nguvu mwilini utakuwa poa wala usiwe na wasiwasi kaka.
 
Mkuu;
Ilikuwa ni mpango wa Mola wako. Siku hiyo hiyo ingenasa na wiki ijayo shem angeanza kutaapika asubuhi na kujisikia kichef chef. Ukichanganya tena na kukosa mkopo, nadhani hata kuzirai ingemhusu.
Mshukuru maulana kwa kukuepusha na msala huu. Ngoja ukipona tu, mama utampa haki yake na mpaka shem asikie mguno chumbani mwake.
Mbona hamna hofu jamani. Umlambe mtu na mdogo wake!! Hofu imeenda wapi?? Miye nilikuwa mpuuzi sana zamani lakini shem nilimuona ka mwanangu wala si dadangu. Hata angelikuja ana skin tight, simuwazii mabaya, namwona ka mwanagu tu. Ona sasa, aibu imekupata, siku utazimia ni atakapo muuliza dadake, Unaishije na mtu si rijali? Pole kwa homa mbili hizo
Minatamani abaki hivyo hivyo kenge huyu
 
Kweli umepatwa pole.
Ila ndo ukome na uwe na adabu kwa mkeo.
Hadi nduguye unamtaka.
 
Kuna mdogo wa Mke wangu amekuja toka mkoa kwa ajili ya kwenda Chuo,amechaguliwa Chuo cha Ustawi hapo Kijitonyama. Sasa akisubiria kwenda zake kuripoti Mzee si nikapatwa na Malaria hivyo nikatulia home kwa siku mbili nikawa siendi job.
Wife yeye kama kawa akawa anaenda zake job na kurudi jioni, mimi nikawa home nipo na beki tatu pamoja na shem wakiniuguza.

Shemeji akawa analeta mitego, siku ya kwanza nikajifanya sijaona. Siku ya pili hivyohivyo ila ya tatu akaja kuniletea uji asubuhi akiwa amevaa khanga moja huku ndani nikiona Pichu yake mpaka rangi, uzalendo ukaniisha nikamzuia akaonyesha ushirikiano.

Kimbembe kimekuja muda wa gemu jogoo amegoma kufanya yake. Nimehangaika lakini wapi nikamuacha. Sasa toka juzi mpaka leo ni siku ya nne jogoo amepoa tu kama anaumwa mdondo, huku shem nae anaonyesha dharau za wazi kabisa. Wadau nisaidieni nirudi katika hali yangu ya zamani maana Wife sijampa haki yake kwa kisingizio cha kuumwa, ila sasa muda ukifika nitaumbuka, Nisaidieni ili nisiadhirike maana tamaa imeniponza.

Maliza dozi acha kuwaza ujinga. Halafu nahisi malaria yako imekula testicles zote subiri tu ukipanda Mabasi ya Mwendokasi kuna hatari mtikisiko ukayadondosha.
 
Safi sana na isisimame Ili akome ,,, hawa ndio wanaume wanaotutia aibu kwa wadogo zetu kwa sababu ya umalaya wew siulisema ujana basi ukaamua kuambatana na mkeo leo kwa shem unataka nin wew uko na roho ya majini Mahaba nataman ungemlala mbaki hivo hivo mkiwa mmelalana mkeo aje akukute hivo Ili ajue ana mume wa aina gani
 
Hata mm nishawahi kukutwa na huo mkasa broo lakini baada ya siku tatu mashine ikaamka
 
Teh, pale mbinu za ibilisi zinapokwama.
Mungu endelea kujidhihirisha kwa watu wako. Muheshimu mkeo
 
Back
Top Bottom