Msaada wakuu, tamaa imeniponza

Msaada wakuu, tamaa imeniponza

Vijana wa siku hizi bana...baada ya kuuwazia ugonjwa....yeye anaumizwa na kukosa mbunye tu....!!!!
 
M'Mungu nae ameamua kukuadhirisha...ndio ukome!!
 
Kuna mdogo wa Mke wangu amekuja toka mkoa kwa ajili ya kwenda Chuo,amechaguliwa Chuo cha Ustawi hapo Kijitonyama. Sasa akisubiria kwenda zake kuripoti Mzee si nikapatwa na Malaria hivyo nikatulia home kwa siku mbili nikawa siendi job.
Wife yeye kama kawa akawa anaenda zake job na kurudi jioni, mimi nikawa home nipo na beki tatu pamoja na shem wakiniuguza.

Shemeji akawa analeta mitego, siku ya kwanza nikajifanya sijaona. Siku ya pili hivyohivyo ila ya tatu akaja kuniletea uji asubuhi akiwa amevaa khanga moja huku ndani nikiona Pichu yake mpaka rangi, uzalendo ukaniisha nikamzuia akaonyesha ushirikiano.

Kimbembe kimekuja muda wa gemu jogoo amegoma kufanya yake. Nimehangaika lakini wapi nikamuacha. Sasa toka juzi mpaka leo ni siku ya nne jogoo amepoa tu kama anaumwa mdondo, huku shem nae anaonyesha dharau za wazi kabisa. Wadau nisaidieni nirudi katika hali yangu ya zamani maana Wife sijampa haki yake kwa kisingizio cha kuumwa, ila sasa muda ukifika nitaumbuka, Nisaidieni ili nisiadhirike maana tamaa imeniponza.

Pole kaka mkeo ameshakupiga kipapai..... Yaani jogoo anawikia kwa mkeo tu, hiyo dawa imezagaa mjini hapa wanawake wengi wanawafanyia wapenzi wao hivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yawezekana uliingiwa na Hofu ya ghafla.

Ondoa Hofu, wewe huna tatizo
 
Acha tamaa, utaharibu ndoa yako. Kuhusu ugonjwa subiri upone ndio ujue kama tatizo lako ni temporary au permanent.
 
Wamekuroga mkuu. Yaani na kumtomasa kote shem imeshindwa hata kunesa !!?. Pole sana
 
Jibu ni moja tu. Ww ni onja onja. Ndio maana Mungu amekuabisha kwa sababu ya hiyo tabia yako. Acha kabisa
 
Dawa za malaria hizo.. na hunywi maji kwa wingi... maliza dozi kwanza ya dawa utakuja kufa...
 
Back
Top Bottom