Msaada wakuu, tamaa imeniponza

Msaada wakuu, tamaa imeniponza

Hali ya kawaida hiyo kwa mgonjwa wa malaria.
Wengine wanapata hamu ya mapenzi sana ila madhara yake ukifanya unaweza fia au kuzimia kifuani wengine ndio kama wewe haisimami inategemea na aina ya dawa pia.
Ndio maana doctor atakuuliza huwa unatumia dawa gani unapo ugua hakupi ovyo ila kama nawewe hujajitambua basi ndio madhara hayo lakini yanaisha dawa ikitoka mwilini.
Ila mzee umedhalilika!
walau kuna umenipa matumaini
 
Pole kaka mkeo ameshakupiga kipapai..... Yaani jogoo anawikia kwa mkeo tu, hiyo dawa imezagaa mjini hapa wanawake wengi wanawafanyia wapenzi wao hivyo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kama ni kweli basi watatuua. Sasa wakifa inakuaje?
 
Usiwe na wasiwasi kaka dawa za malaria zina negative impact kwenye damu na zina athiri pia production ya testosterone homoni. Hivyo dawa hiyo ikiisha nguvu mwilini utakuwa poa wala usiwe na wasiwasi kaka.
at least wewe nimekuelewa
 
Safi sana na isisimame Ili akome ,,, hawa ndio wanaume wanaotutia aibu kwa wadogo zetu kwa sababu ya umalaya wew siulisema ujana basi ukaamua kuambatana na mkeo leo kwa shem unataka nin wew uko na roho ya majini Mahaba nataman ungemlala mbaki hivo hivo mkiwa mmelalana mkeo aje akukute hivo Ili ajue ana mume wa aina gani
kuna watu mnaroho mbaya.
 
Hatua ya kwanza kohoa kwa nguvu mara tano halafu muangalie cha uroho anatikisika?ukiona flesh basi ni ugonjwa tu ukiona kimya basi ni tego hilo ila izi noti feya kwakitendo ulichokuwa unataka kukifanya hata shetani hapendi ila MUNGU ANAKUONA
 
Duh..!
Mimi machine inasimamaga hata kama naumwa nimelazwa wodini network huwa full.!
 
Shemeji yako ametegwa hiyo na dawa imesha kunasa wewe , ndio basi tena
 
Brother stress hizo na mind set yako haipo vizuri pamoja na malaria pia. Fanyia kazi vyote
 
Unataka msaada wa pesa au tukunyanyulie winchi yako? Au ni dawa za malaria unataka?
 
Back
Top Bottom