ESCORT 1
JF-Expert Member
- Dec 7, 2015
- 1,514
- 3,372
Kuna mdogo wa Mke wangu amekuja toka mkoa kwa ajili ya kwenda Chuo,amechaguliwa Chuo cha Ustawi hapo Kijitonyama. Sasa akisubiria kwenda zake kuripoti Mzee si nikapatwa na Malaria hivyo nikatulia home kwa siku mbili nikawa siendi job.
Wife yeye kama kawa akawa anaenda zake job na kurudi jioni, mimi nikawa home nipo na beki tatu pamoja na shem wakiniuguza.
Shemeji akawa analeta mitego, siku ya kwanza nikajifanya sijaona. Siku ya pili hivyohivyo ila ya tatu akaja kuniletea uji asubuhi akiwa amevaa khanga moja huku ndani nikiona Pichu yake mpaka rangi, uzalendo ukaniisha nikamzuia akaonyesha ushirikiano.
Kimbembe kimekuja muda wa gemu jogoo amegoma kufanya yake. Nimehangaika lakini wapi nikamuacha. Sasa toka juzi mpaka leo ni siku ya nne jogoo amepoa tu kama anaumwa mdondo, huku shem nae anaonyesha dharau za wazi kabisa. Wadau nisaidieni nirudi katika hali yangu ya zamani maana Wife sijampa haki yake kwa kisingizio cha kuumwa, ila sasa muda ukifika nitaumbuka, Nisaidieni ili nisiadhirike maana tamaa imeniponza.