wilsonwizzy
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 627
- 2,731
Kachukua nguo yako ya ndani ama manii zako kazifungamanisha na zake na kuzinenea.. Vumilia tu anakulinda usidhurike na vingiKama kochwa cha habari kinavyojieleza,
Natumaini jamiiforums ina watu wenye experience na ujuzi katika mambo mbalimbali,
Tatizo langu,
Nimerogwa na mpenzi,sasa siwezi kufanya mapenzi na mwanamke mwingine tofauti nayeye tu.
Nikiwa na yeye mashine inasimama safi tu,
Lakini nikiwa na mwanamke mwingine mashine haisimami na hata ikisimama nikitaka kuweka tu basi mashine inalala palepale,
Naombeni ushauri/msaada wa kuondokana na hii changamoto kiukweli inaumiza sana,
Kuliko nifanye maamuzi mabaya yanayo weza pelekea kunigharimu basi nimeona nije kwenu wakuu,
najua humu siwezi kosa msaada,
Labda kuna mtu alishawahi kupitia hiyo changamoto akafanikisha kutatua au alishuhudia mtu ana changamoto hiyo na akafanikisha kutatua,basi aniambie pakuanzia
Nb: kama unapata riziki kwenye pilika zako kuwa makini sana na hawa maslay queen wa mjini wenye njaanjaa🙏
Hio inawezekana vipi broKachukua nguo yako ya ndani ama manii zako kazifungamanisha na zake na kuzinenea.. Vumilia tu anakulinda usidhurike na vingi
HahahahaKila la heri
Usiibe simu ya mganga uta delete mizimuMpelekee moto hadi aombe maji, kisha we mnyime maji lazima akuchukie kishenzi.
Mwambie dozi ni hiyo hadi akufungue, lazima akome.
kweli yajayo yanafurahisha sana😂Iwashie kwenye Gia kijana
Hahaha nimecheka hatimae hahahaTiba ya kwanza ni hiyo wewe kujua
Tiba ya pili ni kumweleza huyo mpenzi wako ajue kwamba alichokufanyia umejua
Umesema huyo ni mpenzi wako, hakikisha unamwoa sasa, ili mtoto wa watu aache kuwa na wasiwasi utamwacha ndiyo maana anakuroga
Mkuu nipe tiba ya hili jambo kiukweli inanitesa sana,nifanyeje ili nijinasue na hli🙏Kachukua nguo yako ya ndani ama manii zako kazifungamanisha na zake na kuzinenea.. Vumilia tu anakulinda usidhurike na vingi
No magic it's just a trick/myth