Angalia email zao kama ni sawa ndio contact lazima zionekane sababu Wana access kutoka account Moja.Habari Wana jf, msaada mwenye kufahamu hili Kuna jamaa yangu simu yake inaingiliana baadhi ya vitu na mke wake mfano kwenye phone book jamaa akisave no. ya simu kwenye simu yake mke wake naye kwenye cm yake inatokea, pili kwenye upande wa facebook jamaa akitumia fb mfano kuchat messenger mkewe nae anazipata zote msg so hajui apo amehackiwa au inakuaje pia solution inaweza kuwa ni nini...Asanteni
Inaonekana hapo wanatumia email moja,email ilio kuwa saved kwenye google account kwenye simu ya mkewe ndo hiyo alo save kwake,hapo abadilishe email ya google account kwenye simu yake.Habari Wana jf, msaada mwenye kufahamu hili Kuna jamaa yangu simu yake inaingiliana baadhi ya vitu na mke wake mfano kwenye phone book jamaa akisave no. ya simu kwenye simu yake mke wake naye kwenye cm yake inatokea, pili kwenye upande wa facebook jamaa akitumia fb mfano kuchat messenger mkewe nae anazipata zote msg so hajui apo amehackiwa au inakuaje pia solution inaweza kuwa ni nini...Asanteni
Hii nadhani kama mawasiliano yake yamechepushwa ila kwa case yake inaonekana alishawahi kutumia simu ya mkewe kuaccess account zake kwa njia ya email.Hyo ndo solution!
We piga *21#
Kwani FB ni ya jinsia ya kike pekee? LolNilichoshangaa ni mwanaume kuchati fesibuku
Afute email kwa mke wakeHabari Wana jf, msaada mwenye kufahamu hili Kuna jamaa yangu simu yake inaingiliana baadhi ya vitu na mke wake mfano kwenye phone book jamaa akisave no. ya simu kwenye simu yake mke wake naye kwenye cm yake inatokea, pili kwenye upande wa facebook jamaa akitumia fb mfano kuchat messenger mkewe nae anazipata zote msg so hajui apo amehackiwa au inakuaje pia solution inaweza kuwa ni nini...Asanteni
Ndio.Kwani FB ni ya jinsia ya kike pekee? Lol
UongoooNdio.
Hizo simu mbili zote awali zilitumiwa na mtu mmoja ambaye ktk settings zake kaweka email yake hivyo hiyo email ndiyo inayo weka hizo taarifa pamoja.Habari Wana jf, msaada mwenye kufahamu hili Kuna jamaa yangu simu yake inaingiliana baadhi ya vitu na mke wake mfano kwenye phone book jamaa akisave no. ya simu kwenye simu yake mke wake naye kwenye cm yake inatokea, pili kwenye upande wa facebook jamaa akitumia fb mfano kuchat messenger mkewe nae anazipata zote msg so hajui apo amehackiwa au inakuaje pia solution inaweza kuwa ni nini...Asanteni
Mkeo hakuamini, mwenzetu ni mchepukaji nini? Huyo kakutegea software ili awe anamonitor mienendo yako na wanawake unaowasiliana nao, acha tu uzinzi kiongozi, uishi kwa amani na mkeo.Habari Wana jf, msaada mwenye kufahamu hili Kuna jamaa yangu simu yake inaingiliana baadhi ya vitu na mke wake mfano kwenye phone book jamaa akisave no. ya simu kwenye simu yake mke wake naye kwenye cm yake inatokea, pili kwenye upande wa facebook jamaa akitumia fb mfano kuchat messenger mkewe nae anazipata zote msg so hajui apo amehackiwa au inakuaje pia solution inaweza kuwa ni nini...Asanteni
KE na watoto mostlyKwani FB ni ya jinsia ya kike pekee? Lol