Fundi ndege
Member
- Jul 15, 2014
- 20
- 10
Uchawi email ,jamaa kaweka email yake kwa mkewe na ana save majina kwa email so moja kwa moja na kwa mkewe yata ji update
Anabiashara zake huko so mda mwingi anatumia huko kuwasiliana na wateja wakeNilichoshangaa ni mwanaume kuchati fesibuku
So what a solutionUchawi email ,jamaa kaweka email yake kwa mkewe na ana save majina kwa email so moja kwa moja na kwa mkewe yata ji update
Kwenye phone book itakuwa wametumia email moja kama account ya simu assuming ni android so number za huku zinakuwa synced huku. Kwani yeye haoni namba za mke wake kwake?Habari Wana jf, msaada mwenye kufahamu hili Kuna jamaa yangu simu yake inaingiliana baadhi ya vitu na mke wake mfano kwenye phone book jamaa akisave no. ya simu kwenye simu yake mke wake naye kwenye cm yake inatokea, pili kwenye upande wa facebook jamaa akitumia fb mfano kuchat messenger mkewe nae anazipata zote msg so hajui apo amehackiwa au inakuaje pia solution inaweza kuwa ni nini...Asanteni
Nini hicho kiongozi
Namba za mke wake haoniKwenye phone book itakuwa wametumia email moja kama account ya simu assuming ni android so number za huku zinakuwa synced huku. Kwani yeye haoni namba za mke wake kwake?
Safi kabisa ,napenda watu wenye akili kubwa kama mimiUchawi email ,jamaa kaweka email yake kwa mkewe na ana save majina kwa email so moja kwa moja na kwa mkewe yata ji update
Namba za mke wake haoKwenye phone book itakuwa wametumia email moja kama account ya simu assuming ni android so number za huku zinakuwa synced huku. Kwani yeye haoni namba za mke wake kwake?
So what a solution kiongoziUchawi email ,jamaa kaweka email yake kwa mkewe na ana save majina kwa email so moja kwa moja na kwa mkewe yata ji update
Hyo ndo solution!Nini hicho kiongozi
Namba za mke wake hao
So what a solution kiongozi
Kuondoa email kwenye Simu mojawapoSo what a solution