MSAADA WAKUU MWENYE KUFAHAMU HILI

MSAADA WAKUU MWENYE KUFAHAMU HILI

Fundi ndege

Member
Joined
Jul 15, 2014
Posts
20
Reaction score
10
Habari Wana jf, msaada mwenye kufahamu hili Kuna jamaa yangu simu yake inaingiliana baadhi ya vitu na mke wake mfano kwenye phone book jamaa akisave no. ya simu kwenye simu yake mke wake naye kwenye cm yake inatokea, pili kwenye upande wa facebook jamaa akitumia fb mfano kuchat messenger mkewe nae anazipata zote msg so hajui apo amehackiwa au inakuaje pia solution inaweza kuwa ni nini...Asanteni
 
Kwenye phone book itakuwa wametumia email moja kama account ya simu assuming ni android so number za huku zinakuwa synced huku. Kwani yeye haoni namba za mke wake kwake?
 
Namba za mke wake hao
Uchawi email ,jamaa kaweka email yake kwa mkewe na ana save majina kwa email so moja kwa moja na kwa mkewe yata ji update
So what a solution kiongozi
 
Write your reply...sestart factory simu yako kisha badili email yako kama unatumia android ila kabla hujanya hivyo hakikisha ucopy majina kwenye line au chochote kisicho ingilia na simu
 
Back
Top Bottom