Msaada wakubwa

Msaada wakubwa

Joined
Aug 7, 2013
Posts
7
Reaction score
0
Wakubwa naomba msaada wenu sim yangu tecno n3 imejiloki inaonyesha nimechomeka earphone wakati sijaplug headphone nifanyaje?
 
Imejiloki nini?

kwakua inakuonesha umechomeka earphone wakati hujachomeka, sasa wewe ichomeke kabisa, alafu uone kitatokea nini, Pili izime alafu uiwashe na tatu toa betri yake then uirudishe. alafu uniambie kimetokea nini?
 
Back
Top Bottom