iPhone 6
Senior Member
- Aug 8, 2020
- 104
- 153
- Thread starter
-
- #21
Sasa uwe mwangalifu sana. Unaweza kufoji barua ukajaingia kwenye matatizo ya kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu, ikiwemo money laundering ambayo haina dhamana. Tumia vyombo vya sheria kudai kwani hiyo ni haki yako. Hamkuwa kwenye chama cha wafanyakazi? Ulitakiwa uache kazi kwa plan. Ungeweza kutafuta daktari akakuandikia cheti kuwa una tatizo la masikio na mambo yasingekuwa magumu. Huwezi kumwomba mwanasheria akakuandikia barua ya kuwataka wafanye hivyo? Ni lazima kuna njia ya kudai haki
Nashukuru mkuu , umenipa ushauri mzuri ngoja tu niachane nao nipambane kutafuta kazi sehemu nyingine.Sasa uwe mwangalifu sana. Unaweza kufoji barua ukajaingia kwenye matatizo ya kujipatia fedha kwa njia za udanganyifu, ikiwemo money laundering ambayo haina dhamana. Tumia vyombo vya sheria kudai kwani hiyo ni haki yako. Hamkuwa kwenye chama cha wafanyakazi? Ulitakiwa uache kazi kwa plan. Ungeweza kutafuta daktari akakuandikia cheti kuwa una tatizo la masikio na mambo yasingekuwa magumu. Huwezi kumwomba mwanasheria akakuandikia barua ya kuwataka wafanye hivyo? Ni lazima kuna njia ya kudai haki yako.