Msaada wako wa kimawazo unahitajika hapa

Mr simple M

JF-Expert Member
Sep 18, 2020
2,069
4,294
Hi
 
Attachments

  • Screenshot_20201112-125832_1.jpg
    Screenshot_20201112-125832_1.jpg
    35.3 KB · Views: 3
Unasoma kozi gani hiyo mnalipa 7m. By the way, ninavyojua ni kwamba unatakiwa ulipe nusu ya ada ya semester ya kwanza , siyo nusu ya ada ya mwaka mzima.
 
Unasoma kozi gani hiyo mnalipa 7m. By the way, ninavyojua ni kwamba unatakiwa ulipe nusu ya ada ya semester ya kwanza , siyo nusu ya ada ya mwaka mzima.
Bro unamaanisha mfano mimi ada yangu kwa mwaka ni milioni moja so natakiwa kulipa 125000 cos semister zko nne so 1000000/4= na 250000 iko hivi
 
ushauri wangu nenda dar bodi ya mikopo...au kama dirisha ya appeal limefunguliwa appeal mara moja utateseka sana usipopambana
 
Back
Top Bottom