msaada wako unahitajika:

Tangopori

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2012
Posts
1,628
Reaction score
1,290
Wanajf naombeni mwenye picha ya ua lolote linaloonyesha love naomba aliupload hapa nalihitaji nataka nilisave as a contact image ya mpenzi wangu! Kama lina play kidogo ntapenda zaidi!
Naombeni mpitepite kwenye storage devices zenu mnisaidie!
 
wewe kweli Tangopori....
 
mi ninayo lakini sikupi kwani una uwezo wa kugoogle ukayapata mengi mpaka ukashindwa kuchagua,umerahisishiwa trekta bado wang'ang'ania jembe la mkono.
 
Ngoja nijipendekeze kwako.
 
kwa ajili yangu kweli au aliyeanzisha uzi kukusanya maua?kama la kwangu umejipendekeza kutoka moyoni au kiunoni?ule ujumbe uliokuwa unamwambia Mamndenyindo mie au?

Nimesha Edit mama.
 
Wanajf naombeni mwenye picha ya ua lolote linaloonyesha love naomba aliupload hapa nalihitaji nataka nilisave as a contact image ya mpenzi wangu! Kama lina play kidogo ntapenda zaidi!
Naombeni mpitepite kwenye storage devices zenu mnisaidie!

mi ningekupa lakini natumia facetime........hiyo ni bora zaidi kwa upande wangu.......
 
Google imekutafunia,tena ikubembeleze kwenye kumeza,we mtu mzima bhana, meza mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…