Msaada wako: Dating life!



Haha, ni kweli asee muhimu kujiongeza na kuwapandia huko huko juu. Wanavyotoa vi suprise vya nguvu na vi trip vya hapa na pale out of town on weekends don't hurt at all mazee! 🙂
Na uzuri wa ukijiongeza ni kwa manufaa yako pia, a distinguished gentleman atokee, asitokee you good on your own.

But when you be cruising in that discovery!!, atatokea tu, tena kwa heshima na adabu cos atajua wewe sio wa spot spot. 😀
 

Hapo umesema kweli asee, gentleness, sincere affection, sweet convo. We ladies love that. 🙂
 
Ahahahaha, mgumu kumeza

Wabongo wanapenda kupull wenzao chini lazima either kama hatokunyonha basi lazima aku manipulate uchizike ujione duni kimwili au kiroho maana maendeleo yako hayawezi... don't settle hun dont! Believe me you!

Hapo umesema kweli asee, gentleness, sincere affection, sweet convo. We ladies love that. 🙂
Ila hawatoi sasa, wanaleta mapenz ya kidicteta jaman uuuwi ni sheeda mtaani
 

Si ndo hapo sasa, yaani ME wengine kukuona unapaa wanaona shida. Hii ni insecurity na fear ya kujiona duni mbele yako.
Labda awe amekuzidi kidogo, kama mko usawa fulani kielimu na kimali lazima watajishuku halafu waanze kana unavyosema, kuku manipulate ujione duni hata kama una ma degree kadhaa.

Tatizo na sisi tukipenda tunakuwa vipofu, hatuoni wala kusikia maumivu ali mradi kidume kinaonyesha kukupenda hata kama unakuwa unaonewa. Hatujui kumbe mtu unakufa kihoro polepole.
And you are right, settling for less is no deal.
 


Penny girl haya unayosema hapa yamemtokea former spice gal Mel B.
Yaani bi dada kakaa kwenye ndoa huku nje tunaona mambo bien kumbe masikini ndani jehanum.
Nimeona huruma, wanawake sisi tuna shida sana kwa kweli. Hiki hapa kisa chake.

Mel B granted restraining order against ex after abuse claims
 
AMEN SISTER AMEN
 
Aisee kweli mungu alituumba wanaume na wanawake kwa saikolojia mbili tofauti.

Yani unashangilia kutongozwa kwenda kupigwa bo.lo au sometimes kuliwa Tigo kabisa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…