Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,702
Uuuwi ahahahaBiashara ya kondoo mkia bhana...kwa wachinjaji tunalifahamu hili!
Thank you!Tafteni hela wadogo zangu....love and brokedness are two uncompatible things. [emoji23][emoji23]
Ukitaka kuyafurahia maisha tafta hela kwa bidii alaf kuwa gentleman kwa watoto wazuri (usiwe na mkono mfupi na si lazima uwe na hela nyingi ka Mengi, Bill Gates etc.)
Ukiwa na hela hata kucheka unacheka kwa pause...u gotta learn to race in her mind and make sure u win. [emoji23][emoji23]
I'm Out.
wee unao mkuu? Kama huna usijisikie unyonge, hata Eva mke wa Adam hakujaaliwa mkia!Uuuwi ahahaha
Kukurupuka tena? TuheshimianeNahisi unataka ligi unapindisha maneno sana. Umekurupuka kasome upya alichoandika na nilichomjibu
Kukurupuka tena? Tuheshimiane
Binti umeshindwa kutumia lugha ambayo siyo ya kukera?Oohooo mkuki kwa nguruwe ee kwa binadamu mchungu ee
Binti umeshindwa kutumia lugha ambayo siyo ya kukera?
Tafteni hela wadogo zangu....love and brokedness are two uncompatible things. [emoji23][emoji23]
Ukitaka kuyafurahia maisha tafta hela kwa bidii alaf kuwa gentleman kwa watoto wazuri (usiwe na mkono mfupi na si lazima uwe na hela nyingi ka Mengi, Bill Gates etc.)
Ukiwa na hela hata kucheka unacheka kwa pause...u gotta learn to race in her mind and make sure u win. [emoji23][emoji23]
I'm Out.
Thank you!
You is one classic man nimekutana nae JF, wengine wao humu wanaongeaga vituko, wasaidie wadogo zako buana
Amen sister Preach!Haha, eti unacheka kwa pose [emoji2]
Hii ni kweli tho cos hata kuongea wanaongeaga kwa pose.
It's all about class. [emoji111]
I got u daddy!Thanks for the Love beib. [emoji8]
Chaaaii !! Swt hrt u kno me na. (In Nigerian Accent) [emoji23][emoji23]
We mwanaume au mwanamke?!me nataka mzungu nifanyeje ila Nina aibuuu na pombe sinywi nafwaa
Naona kampuni ya jamaa itabidi iongeze uzalishaji wa miche ya kutosha mkuu😀Me sabuni tyu ni kitendo cha kwenda dukani na kununua kisha narudi gheto
Amen sister Preach!
Mje na huku msome stori yangu basi ila muanzie page 1
Story: Side Chic & Main Chic ~ A Forever Battle
me nataka mzungu nifanyeje ila Nina aibuuu na pombe sinywi nafwaa
We mwanaume au mwanamke?!
Inshort mtu ukiwa na ki IST au volks wagen golf na vihela vya dinner sijui lunch na gasoline. I'm telling u unaweza ukawa una hondomola watoto wakali balaa....watu lazima waseme una vijiti mfukoni.Money Penny acha tu, ukutane na wale 'DISTINGUISHED' halafu awe kwenye stage ya ku settle. Hiyo care yake sasa, Wallah utajiona queen [emoji6]
Hebu nikasome side/main chick mie...[emoji2] [emoji124]
Heheheh, bra! Me naendesha discovery 4 naanzaje kudondoka kwako mwenye volkswagen au vits?!Inshort mtu ukiwa na ki IST au volks wagen golf na vihela vya dinner sijui lunch na gasoline. I'm telling u unaweza ukawa una hondomola watoto wakali balaa....watu lazima waseme una vijiti mfukoni.
Ni ujue tu ku play ur cards right, gentleness and sincere affection, simple but good casual wears, unyunyu wa kama 70K and sweet convesations.
Aaaargh, one needs to treat a woman in such a way dem akiwa stressed au kupitia challenge flan ana kukimbilia ww. Tehe [emoji23][emoji23]
In my early twenties nilikua muoga sana wa these fine chicks but one day it all changed..after learning how its done.
Ahahahahhaha, akyanani nimecheka mpaka boss kanikata jicho!Money Penny acha tu, ukutane na wale 'DISTINGUISHED' halafu awe kwenye stage ya ku settle. Hiyo care yake sasa, Wallah utajiona queen [emoji6]
Hebu nikasome side/main chick mie...[emoji2] [emoji124]