MTOTO WA BABU
Member
- Mar 31, 2011
- 5
- 5
Nenda kwa msajili wa Ardhi kwanza muangalie status ya hati, kama hakuna transfer iliyofanyika, tafuta mwanasheria m-file caveat kwa msajili kuzuia transfer kufanyika huku mkiendelea na taratibu nyingine ikiwemo kuomba hati mpya.Habari wakuu mwenzenu nahitaji msaada tumetapeliwa hati ya nyumba natajiri mmoja mjini hapa naomba msaada wakisheria km tunaweza kufanikiwa au laa km mtaniruhusu plz naomba niendelelee
Hebu nawa kwanza uso halafu rudi sasa utueleze vizuriHabari wakuu mwenzenu nahitaji msaada tumetapeliwa hati ya nyumba natajiri mmoja mjini hapa naomba msaada wakisheria km tunaweza kufanikiwa au laa km mtaniruhusu plz naomba niendelelee
Nenda kwa msajili wa Ardhi kwanza muangalie status ya hati, kama hakuna transfer iliyofanyika, tafuta mwanasheria m-file caveat kwa msajili kuzuia transfer kufanyika huku mkiendelea na taratibu nyingine ikiwemo kuomba hati mpya.
Hebu weka kisa chote hapa na ushahidi ukiweza ili uweze kusaidika kwa haraka na kwa wepesiHabari wakuu mwenzenu nahitaji msaada tumetapeliwa hati ya nyumba natajiri mmoja mjini hapa naomba msaada wakisheria km tunaweza kufanikiwa au laa km mtaniruhusu plz naomba niendelelee
Pole, elezea naamin unaweza kupata mawazo mzuri ukifuata yakakusaidiaHabari wakuu mwenzenu nahitaji msaada tumetapeliwa hati ya nyumba natajiri mmoja mjini hapa naomba msaada wakisheria km tunaweza kufanikiwa au laa km mtaniruhusu plz naomba niendelelee
Lakini pamoja na mkataba kuna mikataba ambayo siyo halali mbele ya sheria ambayo unaweza kuishindaShida watu wengi huwa wanaenda kukopa hela kwa hao matajiri kwa kuweka dhamana hati za nyumba au mali zingine kisha wanashindwa kulipa alafu wanakuja kwenye jamii kuomba huruma. Unapokopa kwa kuweka dhamana elewa huo ni mkataba tayari na hizi habari za kusema alikopa fulani na nyumba ni ya familia huwa ni ujinga tu. Unapokopa kwa kuweka dhamana ya kitu jibu lake ni very straight, ukishindwa kulipa dhamana inakwenda
Kaangalie Sheria ya collateral jamaa kama kweli aliweka hati kama dhamana kaenda .Lakini pamoja na mkataba kuna mikataba ambayo siyo halali mbele ya sheria ambayo unaweza kuishinda
Alafu unakuwa umemdhulumu huyo tajiri?Lakini pamoja na mkataba kuna mikataba ambayo siyo halali mbele ya sheria ambayo unaweza kuishinda
Kama huyo tajiri ni mchaga basi mmekwisha, maana hao ndiyo wako radhi wafanye chochote kile hata Kama ni kibaya mradi wazulumu Aridhi za watu!! Pambana Mkuu usimlegezee, maana hapo bado anakutega!!Ahsante kaka kuna tajiri 1 tuli muuzia nyumba yetu yaurthi tulukua 6 natulikua na nyumba 2 na shamba .nahati zetu tuli zihifadhi mahaka mahakamani tulivyo uza ile nyumba moja kati ya mbili tulimwmbia yule tahiri kua hatizetu zipo mahakamani lakini Fail tumelisahau akasema msijali nnawtu wangu ntawatuma wata zitafuta nikizipata ntachukua ya kwangu ambayo tumeuziana yakwenu ntarejesha basi jamaa akafatilia akazipata akatuita akasema nimeona hti ambayo mmeniuzia na hti ya shamba hiyo nyumba nyengine sijaiona so akarudisha hati ya shamba Kumbe alitudanganya aliziona zote akarudisha shamba zile zanyumba akacukua akatumia zile docmt za mauziano za mwanzo kubadilisha nyumba ya pili so aka hamisha umiliki Akaenda kwenye kampuni ya cement Akachuka cement zenye thamani ya milion 400 na akaweka bondi ile nyumba yetu baala yakwake sasa kalipa madeni ikabaki m60 akawa anasumbua kuwalipa walejamaa ikabidi waitafute nyumba ndo wakaja kwetu ndipo wakatufumbua macho kufatilia nikweli nyumba imebadishwa umiliki basi tukamfata tukamweleza akakiri kweli lakini akasema yy alikua hajui kwa sababu yy anyumba nyingi kwahiyo manasheria wake alichanganya yupo taya kubadisha umiliki nakuturudisha .Akasema hivyo bt Mpaka ss tukimfata anatuzungusha tu nisaidi mkuu nduguzetu niwadogo ndo tegemeo letu hiki kibanda 0687955648
Na kama huyo tajiri sio mchaga unashauri afanyaje?Kama huyo tajiri ni mchaga basi mmekwisha, maana hao ndiyo wako radhi wafanye chochote kile hata Kama ni kibaya mradi wazulumu Aridhi za watu!! Pambana Mkuu usimlegezee, maana hapo bado anakutega!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
Wachaga wasipokupopoa kwa matusi na maneno ya kejeli niite MFALME nimekaa pale [emoji117][emoji143][emoji87]Kama huyo tajiri ni mchaga basi mmekwisha, maana hao ndiyo wako radhi wafanye chochote kile hata Kama ni kibaya mradi wazulumu Aridhi za watu!! Pambana Mkuu usimlegezee, maana hapo bado anakutega!!
Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app