Msaada wajameni mwe!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wajameni mwe!!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kiby, Feb 26, 2012.

 1. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #1
  Feb 26, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 4,745
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  Nimepewa swali na ninatakiwa kuwakilisha jibu kesho. Hapa nilipo kichwa kishapata moto na jibu sijalipata. Naomba tusaidiane nisije umbuka mwanaume mwenzenu.

  Swali lenyewe liko hivi:-

  Nimepita dukani nikalitamani shati, bei yake ni sh. Elfu kumi. Kwa kuwa nilikuwa sina hiyo pesa cashi ilinilazimu kwenda kukopa. Niliemwendea kumkopa hakuwa na elfu kumi ila tano, hivyo akanipa hiyo nikapitia kwa rafiki mwingine akanikopesha hiyo tano iliyobaki kukamilisha elfu kumi.

  Niliporudi katika duka yenye lile shati mwenye duka kanipa punguzo la mia tatu, kwa maana kwamba shati nikaichukuwa kwa elfu tisa mia saba. Ele miatatu niliyopunguziwa nikachukua mia nikampa mdeni wangu wa kwanza na mia nyingine nikampa mdeni wangu wa pili na mimi nikabaki na mia moja.

  Maana yake ni kwamba mdeni wa kwanza amebaki ananidai elfu nne mia tisa halikadhalika wa pili hiyo hiyo elfu nne mia tisa. Sasa ukizijumlisha zote mbili unapata elfu tisa mia nane, na nikijumlishia hapo ile mia niliyobaki nayo katika lile punguzo la mia tatu, inakuwa jumla yake elfu tisa mia tisa. Sasa ndoo naulizwa kwamba hii mia moja ilyoipungua kutoka katika ile elfu kumi imeenda wapi? Na kwa njia ipi?

  NAWAKILISHA.
  .
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Feb 26, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 23,957
  Likes Received: 2,631
  Trophy Points: 280
  mpaka hapo....nadhani sihusiki hapa.....
   
 3. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #3
  Feb 26, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 4,745
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  .
  Hebu husika bana P! Kwani katika kipindi kigumu(matatizo), hata kama yanamhusu mwanamke anaambiwa jikaze(simama) kiume!! Wewe huipendi hiyo kauli?
  Hata kama ni suala la... M-PESA ipo bana.
  .
   
 4. K

  Kagalala JF-Expert Member

  #4
  Feb 26, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 2,354
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  Mpe mwalimu wako jibu ni
  -5000+100 = -4900 (Mdeni A)
  -5000+100 = -4900 (Mdeni B)

  Mdeni A + Mdeni B
  -4900 + -4900 = -9800

  -9800 + 100 (ya kwako) = -9700 (ambayo ndo ulinunulia shati)
  Haya kimbia umwambie mwalimu wako.
   
 5. A

  ADK JF-Expert Member

  #5
  Feb 26, 2012
  Joined: Jan 13, 2012
  Messages: 956
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  haya preta darasa la bure hilo
   
 6. Kiby

  Kiby JF-Expert Member

  #6
  Feb 27, 2012
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 4,745
  Likes Received: 535
  Trophy Points: 280
  .
  Ahsante nashukuru yaani natoka nduki hadi kwa mwalimu. Dada Preta alisepa kujibu swali akitumia kichaka cha jinsia.
  .
   
 7. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #7
  Feb 27, 2012
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,704
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  eehh nimekupenda ghafla....mimi sipend mafumbo.hesabu....napenda ubwete tu kitu ya kureason ahh naona ubongo wangu utaisha....thx kwa jibu
   
 8. nelly nely

  nelly nely JF-Expert Member

  #8
  Feb 27, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 669
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  nenda jukwaa la jokes utapata jibu sahihi.
   
 9. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #9
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,564
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Hujui hesabu wewe....Deni ni NEGATIVE ambayo ni -9800+1=-9700
   
 10. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #10
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,564
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Kijana inabidi utafute mwalimu akufundishe MAGAZIJUTO.....Unazikumbuka enzi za MAGAZIJUTO?????
   
 11. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #11
  Feb 27, 2012
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 3,950
  Likes Received: 417
  Trophy Points: 180
  hili swali lilikwepo hapa juzi kati.embu itafute hiyo thread utapata jibu. acha kukurupuka.
  MAPROSOO.
   
 12. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #12
  Feb 27, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,138
  Likes Received: 221
  Trophy Points: 160
  hili swali huwa ni dalili ya shibe.
   
 13. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #13
  Feb 27, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Ilikuwa jukwaa la jokes hili swali,,mwalimu wako atakuwa kalitoa kule!
   
 14. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #14
  Feb 27, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,564
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Au mwalimu wake ni mwana JF jukwaa la jokes
   
Loading...