Muntu Ya Pori
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 222
- 64
Heshima zenu wakuu. Jamani nina pc yangu ilikuwa ikirun windows xp2 nikajaribu kubadilisha na kuweka win7 ultimate. Ilipomaliza kila kitu katika installation, baada ya kufunguka nilitegemea kusikia sauti wakati inagunguka badals yake kuna ka icon ka spika kamewekewa x na ujumbe wake ni kwamba NO AUDIO OUTPUT DIVICE INSTALLED. Je ni namna gani naweza fix hilo tatizo? Kuna sehemu kwenye setting niligusagusa matokeo yake ni kwamba hata nikiweka cd ya winxp inashindwa kuboot(neno la kitaalam,sijui kama nipo sahihi) yaani nikifungua cd ya winxp option ya install windows imefifia, not clickable. Naomba msaada nifanyeje ili niendelee kuitumia pc yangu vizuri, yaani kama kunauwezekano kufix tatizo la sauti kwenye win7 kama sivyo basi jinsi ya kuirudisha hata winxp2 iendelee kupiga gazi.