Msaada Wajameni KuBoot Samsung Mini Notebook PC

Msaada Wajameni KuBoot Samsung Mini Notebook PC

Mastamind

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2013
Posts
1,318
Reaction score
845
Wanduguz nisaidieni nina Kilaptop kile kidogo kisicho na CD Room aina ya Samsung kina window 7 ambayo ishakuwa attacked na virus km milioni hivi, Sasa kila nikijaribu Kuboot kwa kutumia external CD Room iliniweke window mpya nibonyeza f12 km kawaida haikubali inakuta inawaka tu km kawaida pia inapokua inawaka pale mwanzo inatoa option mbili tu za kubonyeza nazo ni f2-BIOS Setup na f4 - PC Recovery, ,,
Naombeni Msaada nifanyeje niweze kuweka window mpya?
 
Mbona wanduguz wamekua wabinafs hv,,!!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom