Msaada wadau. Naomba mwenye ujuzi wa kuinstall application kwenye PC

Baba Jadecah

Member
Apr 17, 2019
37
22
Naomba mwenye huo ujuzi wa kuinstall aps mbalimbali kwenye pc, mfano dictionary,bible nk. Au kama kuna link ya kuinstall hizo Apps naomba msaada na maujuzi zaidi, kumbuka sihitaji kuinstall bluestalk maana kwenye pc yangu inazingua sana yaani bluestalk inakuwa slow sana kuload engine. Nimewasilisha wadau
 
mfan dictionary
unataka english -swahili
au OXFORD english dictionary
unataka BIBLE ya kiswahili au english
ni hizo tu software unazotaka kuwekewa au kuna zingne ?

achana bluestark tumia NOX PLAYER ipo smooth

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom