gen parton
JF-Expert Member
- Jan 15, 2013
- 642
- 412
Watanzania wenzangu mimi ni muajiriwa serikalini ambae nina elimu ya diploma tu na mshahara wangu kwa mwezi pamoja na marupurupu mengine nachukua 1.8million lakini ukichukulia maisha ya hapa Tanzania najikuta siwezi kusave hela akiba ya maana simnajua mambo ya mikopo makato mbalimbali, Sasa kuna jamaa angu akanipa mchongo kuwa Dubai naweza tengeneza hela ila kanipa kwa juujuu tu real life la Dubai hivyo naomba kwa anaefahamu kwa undani maisha ya huku umangani unijulishe tafadhari, kazi njema wadau