Sasa wewe ndugu yangu unapata shida kuna mtu anasafiri kila siku mpe anaweza pitia china akusaidie ku unlock kama haumjua waulize wadau watakupa jina ,
.kashindi said:Jamani naombeni msaada jinsi ya
ku unlock simu ya huawei ya tigo
ili itumie mitandao yote.
Kama mtu anaweza naimba aniPM
au anitumie sms kwenda
0754224104
natanguliza shukurani.
Kashindi
Jamani naombeni msaada jinsi ya ku unlock simu ya huawei ya tigo ili itumie mitandao yote.
Kama mtu anaweza naimba aniPM au anitumie sms kwenda 0754224104
natanguliza shukurani.
Kashindi
Je, unataka kufungua y300 yako huawei ya mkononi? Kwanza unaweza kutembelea tovuti hii Simpleunlocking.com hapa unaweza kupata kanuni na kufungua simu yako.