Msaada wadau: Gesti nzuri maeneo ya Tengeru/Usa river.

Msaada wadau: Gesti nzuri maeneo ya Tengeru/Usa river.

Tengeru nje ya mji sana unless kama hawana shughuli mjini ....maeneo ya makao mapya vipo Vinci bei nzr
 
Kuna moja ipo hapo tengeru wanaposimama traffic police jina sikumbuki ni pazuri 20000 kuna hadi landline phone kwenye kila chumba ila kama unapenda kuoga kutumia maji moto ni ya kusubiri hadi yachemshwe kwanza
 
Mkuu hayo maeneo kuna Guest kuanzia za sh 5,000 na kuendelea hadi zaidi ya 100,000/day, ww budget yako ikoje,


Kuna rafiki yangu aliwahilala maeneo hayo siku moja anasema alipokuwa akinyoosha mguu akiwa amejifunika blanketi likachanika urefu wa kama sm 60 hivi, baridi aliyopigwa usiku huo ikamlazi asubuhi ahamie kwingine
 
Mkuu nashukuru kwa ushauri wako lakini kama umenisoma vizuri katika maelezo ni kwamba maeneo hayo ndio rahisi kwa wao kufanikisha majukumu yao kiwepesi.

Ingekuwa mjini nisingeleta huu uzi hapa maana nina exposure ya kutosha . Asante
Triple K ipo njia ya kuingilia sokoni kama unashuka mifugo...kuanzia 30 vyumba vizuri maji ya moto huduma za bar na chakula pia.

Sumni bar and lodge..ipo njiani kabisa unaposhuka kwenye kituo cha tengeru ukimuuliza yoyote atakuonesha kwa kidole kwamba ileeeee...ni 20 vyumba standard pia....

USA pia zipo nyingi nzuri
 
Kuna moja ipo hapo tengeru wanaposimama traffic police jina sikumbuki ni pazuri 20000 kuna hadi landline phone kwenye kila chumba ila kama unapenda kuoga kutumia maji moto ni ya kusubiri hadi yachemshwe kwanza
Unaongelea Sumni...maji ya moto saivi ni full kaka labda ulipata huduma pale kitambo kidogo. Saivi ni safi sana
 
Ni dhambi mdau kuiita Ngurdoto lodge gesti, ipo usa river
Nimeshangaa mkuu na nimemjibu accordingly maana nilishatoa angalizo la eneo, labda Kuna ngurdoto guest maeneo hayo anisaidie
 
Triple K ipo njia ya kuingilia sokoni kama unashuka mifugo...kuanzia 30 vyumba vizuri maji ya moto huduma za bar na chakula pia.

Sumni bar and lodge..ipo njiani kabisa unaposhuka kwenye kituo cha tengeru ukimuuliza yoyote atakuonesha kwa kidole kwamba ileeeee...ni 20 vyumba standard pia....

USA pia zipo nyingi nzuri
Shukran sana kwa msaada wako mkuu
 
Tengeru guest zake chafu sana, nenda leganga pale zipo nzuri sana
 
Back
Top Bottom