Msaada wadau,decorder yangu MPEG 4,Hometech 940II ina shida!

Mathanzua

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
15,858
20,710
Wadau poleni na mihangaiko ya kila siku.Ninayo recorder yangu ya Kichina MPEG 4.Shida yake kubwa ni kwamba, ukishawasha mara nyingi inakwamia kwenye boot mpaka uwashe na kuzima weee,ndio ikubali.Kama kuna mdau anayejua tiba yake naomba msaada.Inakera sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom