hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,889
- 2,799
sitapewa zawad yeyote! hata kama nitatoa hiyo bikra
sijui kama wapo! kama unaona unaweza kunisaidia nisaidie
sijaoa nimemaliza chuo mwaka huu
Concentrate na maisha kijana. Haya mambo mengine yapo mbele huku ukishaamua kuweka priorities.
Kwa sasa utaharibu tu maisha yako. Chukua ushauri wangu na uufanyie kazi.