Msaada wa volkswagen touareg 3.0 td1 v6 diesel

Unatoa elimu mkuu unastahili walau tukugongee like

Wivu choyo ni uwadui mkubwa sana
 
Atakua kaiua mwenyewe huyo ni mbaya sana kuhisi kitu kibaya hafu ukapuuza unaweza paki mazima
 
VIPI UPATIKANAJI WA SPEA , ULAJI WA MAFUTA PAMOJA NA MAFUNDI

2007 Ina matatizo ya engine zaidi kwa maoni ya wadau au gazeti la magari linavyoelezea
Wengi imewagharimu sana kwa kutengeneza
Na ya 2010 tatizo liko kwenye fuel pump
Kuhusu gharama ni kubwa sana na hata wenye hela bado wanalalamika kwa cost zake ( hii ni report ya nje)
Kuhusu mafundi wa bongo sijui Mkuu kabisa
 

Ni kweli za zamani zina hitilafu kwenye engine na cost yake ni kubwa sana kuna wengine imewagharimu mpaka £6000 ( kama 18m) kuirudisha barabarani
 
Duh we jamaa upo deep hadi unaboa... Duuh
 
Gari nyingi zina gharama kubwa ila kuna jarida moja linaitwa Which?
Au which car hapo utajionea sifa na mapungufu ya gari zote duniani kabla hujanunua gari lako ulipendalo kwa ridhaa yako
Sio kila gari ni bora
Kuna jamaa anitwa hoovie garage pamoja na fundi mkongwe anaitwa Scott Kilmer huko YouTube. Wacheki hao kuhusu misiba ya European made cars.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…