Mbassa jr
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 1,234
- 3,209
Wakuu bajeti niliotenga ni 16M nataka kuvuta usafiri, nahitaji msaada wa ushauri ni gari gani naweza kununua ambayo ina sifa hizi hapa nlizoanisha:-
-Haili sana mafuta ambayo unaweza kuiita economy.
- Gari ngumu ambayo inaweza kuhimili shurba za mara kwa mara kwasababu barabara ninayotumia ni rough road na yenye makorongo ya hapa na pale.
-Upatikanaji wake wa spea kwa hapa tanzania uwe ni wa uhakika.
Nawasilisha.