Msaada wa ushauri ninunue gari gani kwa bajeti ya 16M

Chukua Harrier bhana, agiza Japan achana na bongo watakuliza, coz Ilotumika tuu yenye namba C watakupiga Milion 14 so angalia uagize nje kama kuna unafuu lkn coz sijaagiza muda kidogo.
 
Hello mkuu, kwanza kabisa hongera kwa kufikia uamuzi wa kuvuta usafiri,
mimi nafanya kazi autocom japan , kampuni ya kuagiza magari kutoka japan kuja tanzania.
Makao makuu yapo Japan ,Na offisi zetu kwa hapa tanzania, zipo Jengo la Quality center shopping mall Mtava, Along nyerere road.
Sisi tuna magari mazuri yenye ubora na bei ni nzuri kabisa.
cfd63ab0d7383917d4bf088aa4287a3e.jpg

kwa ushauri wangu ingekuwa kutokana na bajeti yako ingekuwa vyema ungechukua kati ya hizi gari 2,

Toyota rav4,
Year 1996
Cc 1990
Mileage 113000km
Gharama kamili 15.8m



42fa15dedd1c6c33a7fe4b176d63acf2.jpg

8427e8f7fe0fee64d8c2f1597b428822.jpg


Toyota harrier 2002
Cc 2360
Mileage 154000km
Gharama kamili 17m,
84798e20bb69c510b39483f2db44a922.jpg

171cf835d49761eea06cbcebdbace3e4.jpg

793bdd94d719b792e2bf6eadbeb5ed11.jpg

Otherwise itabidi uende kwa xtrail.
This will be the best options for ua budget.
Also waeza kutembelea kwa maongezi na ushauri zaidi.
Shukrani mkuu ntakutafuta
 
Chukua Harrier bhana, agiza Japan achana na bongo watakuliza, coz Ilotumika tuu yenye namba C watakupiga Milion 14 so angalia uagize nje kama kuna unafuu lkn coz sijaagiza muda kidogo.
Shukrani mkuu ngoja nijaribu kucheki na wanaoagiza magari nione
 
Ongeza milioni nane nikuachie Discovery 4. Ni nzuri utafurahia achana na toyota family.nimeacha kutumia toyota miaka minne iliyopita so nakushauri chukua magari ambayo watu wanayaogopa.
kuhusu fuel consumption inategemea na mahali unapoend kufanya shughuli zako na foleni.
Ungeweza angalia pia na Audi kama hutapendelea Discovery.
B,R
Milioni 24 Discovery 4?
 
Mkuu naona kimya sijui ushapata, nunua Toyota Carina kama sikosei cc 1380 aizidi 1400cc, ukiweka mafuta ya 30,000 unatembea kilomita mpaka 240 yaani unaenda Moro kula bata, ukipigika kimaisha una uwezo wa kuiuza faster au ukaajili kijana anaifanya Texi unakula 120 per week.
Tena ukipata rangi ya silver pooooa.
Tena ina sifa zote unazozitaka, upatikanaji wake wa spea, gari ngumu, ulaji mafuta.
Tena na chenji inabaki kwa hela yako uliotenga.
 
Back
Top Bottom