Kurunzi
Platinum Member
- Jul 31, 2009
- 10,175
- 11,572
Inverter ya wats ngapi unatumia?Mtaalam nisaidie hili. Nina Sola 60Wt betri N50 haijaisha maji ipo full lakini jua likizima tu basi Inveter nayo haipeleki moto, likiwa tu inafanya kazi kama kawaida hata nikiunga direct toka sola na inveta bado hali ni ileile. Sijajua sola ndo mbovu au betri.