Msaada wa Ushauri juu ya Forester x20 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada wa Ushauri juu ya Forester x20

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Nyokamzee, May 24, 2012.

 1. Nyokamzee

  Nyokamzee Senior Member

  #1
  May 24, 2012
  Joined: Dec 31, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jamani kwa mwenye kuijua vizuri subaru forester x20' anipe msaada nahitaji kuinunua Jamani.
   
 2. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,577
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  maelezo uliyotoa hayajitoshelezi!!! unataka kujua nini??
   
 3. A

  Ados Senior Member

  #3
  May 24, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 117
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Gari hii jiandae kwa spear zake, kwani aghari na pengine hupatikana Nairobi
   
 4. S

  Starn JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2012
  Joined: Oct 10, 2011
  Messages: 400
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
 5. MANI

  MANI Platinum Member

  #5
  May 24, 2012
  Joined: Feb 22, 2010
  Messages: 6,409
  Likes Received: 1,862
  Trophy Points: 280
  Lakini mkuu ukiagiza Nairobi ni rahisi zaidi kuliko kununu kwa yule mangi kariakoo !
   
 6. UPOPO

  UPOPO JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2012
  Joined: Dec 17, 2010
  Messages: 1,371
  Likes Received: 718
  Trophy Points: 280
  Haina shida yeyote ,ila spear zake ziko juu kidogo kwani hakuna za kuchakachuliwa na ukiweka kifaa unasahau.nimetumia kwa mwaka wa pili sasa nimeshasafiri nalo kwa more than 1200kms twice halijaleta tatizo lolote.
  Kama umepanga kununua nakushauri nunua spear zote zinapatikana sio mpaka uagize Nairobi.
   
 7. Bondpost

  Bondpost JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2012
  Joined: Oct 16, 2011
  Messages: 1,981
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Ila kwa gharama ya spea ajiandae, kama ana hela ya kuungaunga ajaribu kufikiria gari nyingine. Mie mwenyewe naijua mpaka juzi nimemkandamizia mhindi flani aliipenda sasa nimepumzika kwenye RAV4 najisikia huru.
   
 8. luck

  luck JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2012
  Joined: Oct 3, 2009
  Messages: 771
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  Ni vema umeuliza mkuu.Nakuomba uzingatie utakachoshauriwa.Nasema hivyo kwa sababu nimeshaumizwa.Nilienda dukani kucheki gari nikiwa nimeongozana na mtu nayemwamini anayajua vizuri magari. Akanishauri gari ipi ya kununua na ipi haifai. Mimi kwa kuangalia mabati (body) nikanunua gari aliyonikataza.Leo najuta!
   
Loading...