Msaada wa Ushauri Fastjet Vs RwandaAir

Msaada wa Ushauri Fastjet Vs RwandaAir

Kama unataka kuifurahia safari yako na kamwe usijute, tumia RwandaAir.
 
Kama unaamini kwenye cheap things but end expensively basi njoo fastjet lakini kwa maana halisi ya safari ya anga rwandair wako vizuri. Angalizo: ucheap wa fastjet uko kwenye makaratasi na advert zaidi!
 
Achana na fastjet kila siku watu wanatoa malalamiko na bado hawajirekebishi
 

nashauri rwanda airways hata kuliko jamaa wanajiita jet hakuna kitu mkuu walishanitenda siwapendi to be honest utatupa mrejesho baada ya safari kama utatumia jet hizi
 
Back
Top Bottom