Msaada wa Ujuzi

Msaada wa Ujuzi

Jouseh

New Member
Joined
Apr 9, 2015
Posts
2
Reaction score
1
Habari wana JAMII FORUMS, Mimi ni Blogger na nilikuwa najaribu kujiunga na kampuni ya matangazo ya www.seebait.com lakini baada ya kupata codeza html nilipoziweka zinadisplay empty, tafadhali kama kuna mtu ana ujuzi wa kuweza kujiunga na Seebait naomba tusaidiane please!!!!!!!!
 
Mkuu Property yako teyari iko Approved??
Kama teyari hakikiasha umeweka Profile details zako ambazo ziko in Form of HTML katika Heading section ya Blog yako. Kama bado property yako haiko Approved tafadhali wasiliana nao wa-activate acount Property yako.

Hizo code za Profile detailz zako utazipata katika kipengele cha Profile kilichopo seebait
 
Back
Top Bottom