Msaada wa uhamisho

Kimetah

JF-Expert Member
May 8, 2013
1,049
188
Wakuu,mim ni mwalimu wa sekondari,nafundisha masomo ya sayansi,naomba mnisaidie niweze kuhama toka Wilaya ya Rombo kwenda Wilaya ya Hai--kilimanjaro ambapo familia yangu ipo...nimehangaika sana....naombeni mwongozo
 
mkuu kama hauna mtu wa kubadilishana nae andaa kifuta jasho cha mtia saini
 
uyo mtia sign ntamwonaje,?yan simfaham

ongea vizur na afisa elimu au afisa taaluma na hata ma-ps na pia pale masijala mchomoe mmoja chonga nae mbona kitaeleweka tu?,penye nia pana njia na penye uzia penyeza rupia.kila la kheri
 
Back
Top Bottom