Jstrong
Member
- Mar 24, 2011
- 60
- 13
Mimi mwanaume miaka 28 nasumbuliwa sana na maumivu ya kiuno ninapolala usiku kwa takriban miaka miaka 9. Nimekwenda hospital nyingi kama vile General hospital in Dodoma, Muhimbili, Agha Khan Dodoma, Mwananyamala hospital na kufanya vipimo mbalimbali vikiwemo Normal X-ray, lumber x-ray, vipimo vya damu, figo, urine analysis, but nothing was diagnosed.
Lakini naumia sana kwani maumivu hunipata usiku nikiwa nimelala hususan nikiwa nimekula late usiku, nikibanwa na mkojo au haja kubwa, nikiwa nimekula kiasi cha kutosheka(ili kupunguza maumivu nalazimka kula kidogo sn usiku na mapema sana kabla ya saa moja jioni, i hav got relief but still napata pain)
Pamoja na kujaribu mbinu mbalix2 ili kupunguza maumivu but bado napata maumivu ndugu zangu.
Naombeni msaada wa ushauri, tiba au vyovyote vile kwa mwenye ujuzi. Napata shida sana ndugu zangu.