Msaada wa tiba ya maumivu ya kiuno

Jstrong

Member
Mar 24, 2011
60
13
Mimi mwanaume miaka 28 nasumbuliwa sana na maumivu ya kiuno ninapolala usiku kwa takriban miaka miaka 9. Nimekwenda hospital nyingi kama vile General hospital in Dodoma, Muhimbili, Agha Khan Dodoma, Mwananyamala hospital na kufanya vipimo mbalimbali vikiwemo Normal X-ray, lumber x-ray, vipimo vya damu, figo, urine analysis, but nothing was diagnosed.

Lakini naumia sana kwani maumivu hunipata usiku nikiwa nimelala hususan nikiwa nimekula late usiku, nikibanwa na mkojo au haja kubwa, nikiwa nimekula kiasi cha kutosheka(ili kupunguza maumivu nalazimka kula kidogo sn usiku na mapema sana kabla ya saa moja jioni, i hav got relief but still napata pain)

Pamoja na kujaribu mbinu mbalix2 ili kupunguza maumivu but bado napata maumivu ndugu zangu.

Naombeni msaada wa ushauri, tiba au vyovyote vile kwa mwenye ujuzi. Napata shida sana ndugu zangu.
 
Pole mkuu.Babu yangu amewahi kuniambia kuwa mafuta ya breki D.O.T 4 yanafaa.Unapaka kiuno chote kisha upumzike.Utapona.
 
Polee Mkuu Jstrong, ninawasiwasi(nahitaji uweke sawa mambo kadhaa vizuri) kutokana na maelezo yako:

1.Unaposema unapata maumivu "unapolala usiku", je,
ukilala mchana, hakuna hayo maumivu?

2.Katika hospitali tajwa hapo juu, what was their working
diagnosis?..sidhani kama madaktari wanaweza
kukupima vipimo hivyo hapo juu bila kuwa na
"clue"(working diagnosis)

Then, ningependa kujua( kama hutajali),
-Je, maumivu yako sehemu gani ya kiuno(upande(kulia/kushoto na ni mbele au nyuma ya kiuno(upande wa mgongo)?
-Unaweza kuyaelezeaje hayo maumivu, yakoje kama kitu kinakata, kama yanachoma, kama kuna kitu kinavuta, nk)?
-Kuna uhusiano wowote kati ya maumivu(kuongezeka/kupungua) ukiwa katika movement(kutembea, nk?) , je kuna uhusiano wowote kati ya maumivu na mkao fulani(posture)..kusimama, kukaa, kuchuchumaa?
-yapo muda gani, na wakati gani ni zaidi?..kwa muda wa miaka 9 umekuwa ukipata tiba gani?
 
1 Mara nyingi huwa silali mchana
2 Muhimbili waliniambia kuna gap btn the two bottom spinal cord,Aghakhan walisema probably constipation na sikuwa nayo,lakini pia nilikuwa na hemorrhoids 1998 nikafanyiwa surgery 2010 general hospital,
3.Maumivu ni nyuma ya mgongo
4.Maumivu kama yanachoma wakati nikiwa napumua yanakuwa severe
5.Posture ni kama nikikaa kwenye soft surface kwa muda than in hard surface
6.Nimetibiwa kwa kupewa dawa kila sehemu nilizokwenda but no relief at all. Naomba mniasidie wadau.
 
Pole sana ndugu yangu...kama ni kiuno ebu jaribu kwa Dokta Baki yupo Kibaha yeye ni mtaalam sana wa mambo ya mifupa na amasaidia wengi. Kuwa na amani tu utapona kwani Mwenyezi Mungu hakuleta maradhi yasioyo na tiba...Ishaallah ufanyiwe wepesi.
Mimi mwanaume miaka 28 nasumbuliwa sn na maumivu ya kiuno ninapolala usiku,kwa takriban miaka miaka 9,nimekwenda hospital nyingi kama vile General hospital in Dodoma,Muhimbili,Agha khani dom,Mwananyamala hospital, na kufanya vipimo mbalimbali vikiwemo: normal x-ray,lumber x-ray,vpmo vya damu,figo,urine analysis, but nothing was diagnosed.
Lakini naumia sn kwani maumivu hunipata usiku nikiwa nimelala hususan nikiwa nimekula late usiku,nikibanwa na mkojo au haja kubwa, nikiwa nimekula kiasi cha kutosheka,{ili kupunguza maumivu nalazimka kula kidogo sn usiku na mapema sana kabla ya saa moja jioni, i hav got relief but still napata pain}
Pamoja na kujaribu mbinu mbalix2 ili kupunguza maumivu but bado napata mumivu ndugu zangu,
Naombeni msaada wa ushauri,tiba au vyovyote vile kwa mwenye ujuzi.Napata shida sana ndugu zangu.
 
Mkuu Jstrong, gow was the pain after Surgery?.. bse it was relieved but then became worse baada ya surgey can be Surgical complications(adhesions.etc)..pia ningekyshauri kufika hospitali kufanya vipimo the X-rays, CT Scan, MRI kujua tatizo.. lakini kama ni gap, labda shida ni slipped or protruded disc" lakini mara nyingi tatizo hilo huandamana na kupungua kwa nguvu kiasi fulani kwa miguu, shida katika tendo la ndoa(erectile dysfunction), kufa ngazi kwa sehemu ya chini ya kiuno kwenda chini n.k.je unayo?
 
Pain hav been there b4 and after,nguvu ninazo kama kawaida.nlipima x ray sijapma MRI,CT SCAN.
SURGERY was succesful with no complications.
 
Jstrong, nadhani lazima daktari alisema/alishauri juendelea na vipimo kama maumivu yaliendelea,..au mazoezi(physiotherapy) kwa working diagnosis ile uliosema ..so kwa mtazamo wangu kama uki_attend hospital kwa uchunguzi tatizo linaweza kujulikana na kutibika.

NB: Surgical complications can be immediate kama kutoka damu nyingi au maumivu(pain)... kama yako(bse from what i can tell the pain isnt that severe, cant tolerate pain for 9yrs na kama paon ikiwa persistent(MUDA WOTE)...
 
Kaka naomba uniambie niende hosp gan? Maana hadi muhimbili nimefika,niliambiwa kutokana na gap waliloliona waliniambia nisibebe vitu vizito na nitumie asali mbichi,na dawa zingine but still no changes.
 
Mkuu, Muhimbili (MNH) nadhani ulionana na physician, ..though not Orthopedic case per se, lakini jaribu kufika MOI,as an outpatient..kwa kuwa gharama ni cheap(ya vipimo), lakini unaweza jaribu Private sector( Aga Khan, na pia near by Al-Muntazir kuna very extensive and new diagnostic centre) ingawa gharama ni KUBWA...

My advice: Fika MOI, au anzia kwa physician wako aliyekuona kabla ili kumweleza the condition is worsening then yeye ataomba Medical consult from watu wa mifupa..na pia zingatia ushauri wa mkuu papason.
 
Wanajamvi mimi ni binti nina miaka25 ninaumwa sana kiuno maumivu makali sana hasa kwa upande wa nyuma hata nikihema nasikia maumivu nilishapiga xray cna tatizo.....
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom