Msaada wa tiba ya maumivu ya kiuno

Mkuu Jstrong, gow was the pain after Surgery?.. bse it was relieved but then became worse baada ya surgey can be Surgical complications(adhesions.etc)..pia ningekyshauri kufika hospitali kufanya vipimo the X-rays, CT Scan, MRI kujua tatizo.. lakini kama ni gap, labda shida ni slipped or protruded disc" lakini mara nyingi tatizo hilo huandamana na kupungua kwa nguvu kiasi fulani kwa miguu, shida katika tendo la ndoa(erectile dysfunction), kufa ngazi kwa sehemu ya chini ya kiuno kwenda chini n.k.je unayo?
mi nina hayo uliyosema kasoro sina shida ktk tendo la ndoa na prof mmoja alisema itakuwa disc vitugani huko sikumbuki ila siwezi kukaa kwa takribani wiki 3 sasa
 
Sorry nilipost kabla sijamaliza...chemsha maji yawe ya moto then paka dawa yako.tafuta taulo liloweke kwa hayo maji lilalie wakati umekunja miguu kama 45 degrees kaa hivyo kwa 5-10 minutes rudia kama mara mbili.do that exercise kila siku kama utaweza kwa mwezi mzima ukiwa umepumzika nyumbani(i did it for 2 weeks) it worked.kwanza siku hiyo
hiyo nilipofanya treatment hiyo nilijisikia nimepona...try it


Mkuu kwa hiyo unatakiwa kupaka kwanza hiyo Dawa halafu ndo unalalia hilo taulo lenye Maji moto au unalalia kwanza taulo then ndo unapaka Dawa?
 
Back
Top Bottom